PlaneteAfrique
Déconnexion


Kiwango cha ufundishaji kikwazo kiwango cha ufaulu wanafunzi Mbeya

Kiwango cha ufundishaji kikwazo kiwango cha ufaulu wanafunzi Mbeya

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amesema licha ya wadau mbalimbali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali kumaliza tatizo la uhaba wa vitabu katika shule za msingi na sekondari, bado kiwango cha ufundishaji kinadaiwa kushuka mkoani humo.



Akitoa rasmi ripoti maalum ya utafiti uliofanywa na Idara ya elimu mkoani humo katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya jiji la Mbeya kwamba uhaba wa vitabu halijawa tatizo mkoani humo kwa sasa, badala yake kiwango cha ufundishaji kwa walimu ndo limekuwa ni tatizo kubwa ambalo linatafutiwa ufumbuzi.



Kampuni ya Ununuzi wa Kokoa ya Bioland imetoa msaada wa vitabu vya kiada kwa wanafunzi wa shule kadhaa wilayani Kyela na Rungwe ikiwa ni jitihada za kuunga mkono kupunguza ama kumaliza kabisa tatizo la uhaba wa vitabu shuleni.



Hosea Cheyo, TBC Mbeya.




Last Updated ( Monday, 24 December 2012 13:16 )


 

TANZANIE - accès rapides

Actualités par pays

 

Newsletter


 
 
 
 
 
 

Actualités par pays

TANZANIE - accès rapides

Newsletter


 
 
 
 
 
MySite
WS-MYSITE
✨ Présence web
Créez votre site clé en main
Démarrer →
Tanzanie - Actualites