PlaneteAfrique
Déconnexion
WS-Apps, le système de gestion de contenus adaptatif développé depuis 15 ans, conçu pour sa puissance, son efficacité et sa simplicité. Trois applications, une présence web maîtrisée :
WS-MySite! Votre présence web immédiate et professionnelle. Découvrir ce pack
WS-Webzine Pour agences de presse et éditeurs. Découvrir ce pack
WS-Ecommerce Vendez en ligne et encaissez par Mobile Money et carte bancaire. Découvrir ce pack

Agakhan kujenga chuo Arusha

Agakhan kujenga chuo Arusha

Mawaziri wanne wa wizara mbalimbali wametembelea eneo linalotarajiwa kujengwa chuo kikuu cha Agakhan mkoani Arusha kinachotarajiwa kukamilika mwaka 2018.



Katika ziara hiyo, Waziri wa elimu Dkt. Shukuru Kawambwa amesisitiza kuwa nchi ya Tanzania inakabiliwa na mahitaji makubwa ya vyuo vya elimu ya juu.



Dkt. Kawambwa ametoa kauli hiyo mara baada ya kutembelea eneo litakalojengwa chuo hicho ambapo amesema iwapo chuo kikuu cha  Agakhan kikikamilika kitakuwa na manufaa makubwa ndani na nje ya nchi na kuongeza kiwango cha ajira pamoja na kuipa sifa nchi ya Tanzania.



Sechelela Kongola, TBC Arusha.




Last Updated ( Monday, 08 April 2013 11:28 )


 


Actualités par pays

Newsletter


 
 
 
 
 
Tanzanie - Actualites