PlaneteAfrique
Déconnexion


Nape ashauri vyama vinavyovunja amani vifungiwe

Nape ashauri vyama vinavyovunja amani vifungiwe

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi - CCM itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kuvichukulia hatua za kisheria vyama vyenye usajili wa kudumu ambavyo  vimekuwa vikisababisha uvunjifu wa amani.



Nnauye ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Njoro mkoani Kilimanjaro na kuongeza kuwa CCM haitavumilia kuona operesheni mbalimbali za vyama vya siasa hapa nchini zikiendeshwa bila kufuata taratibu.



Sauda Shimbo, TBC Kilimanjaro.




Last Updated ( Monday, 08 April 2013 11:26 )


 


TANZANIE - accès rapides

Actualités par pays

 

Newsletter


 
 
 
 
 
 

Actualités par pays

TANZANIE - accès rapides

Newsletter


 
 
 
 
 
E-commerce

WS-Webshop

Mobile Money intégré
  • Boutique clé en main
  • Gestion stocks incluse
Découvrir →
Tanzanie - Actualites